Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
ugumu hapo ikiwa mama alichuma na marehemu mume wake, kuondoka kwenye hiyo nyumba itakuwa ngumu, bac na kijana aondoke akkanze maisha mapya.
Kweli we ni great thinker!. Huo utakuwa mwanzo mzuri kwani atakuwa amewahusisha wadau wa karibu wa familia. Naamini atapata mwelekeo wa ni nini ni sahihi au sio sahihi kufanya.Kile kitendo cha wao kuanza hii mambo kwa kujificha ni hali wanayofanya c halali so ni makosa! Jamaa kabla hajawavaa wenyewe aongee na wakubwa zake kama wajomba baba wakubwa au hata mashangazi!
Yule kijana(aliyetambuliswa) akawa anakwenda home kwao mshkaji hata kama hayupo mara ghafla yakaanza mahusiano ya siri kati ya yule kijana na mama wa rafiki yake, sasa hivi wamenogewa hakuna siri tena mambo hadharani outing za kufa mtu.
sasa huyu rafiki yangu kanijia ananiambia kuwa anaona aibu sana, maana watu wanasema vibaya mno. anashindwa awaambie (mama yake + mshkaji wake)???:
Kama umestaajabu ya Musa, tizama ya Firauni hapa chini:
"You can't help who you fall in love with, it just happens. I fell in love with my sister and I'm not ashamed ... I only feel sorry for my mom and dad, I wish they could be happy for us. We love each other. It's nothing like some old man who tries to seduce his three-year-old, that's evil and disgusting ... Of course we're consenting, that's the most important thing. We're not perverts. What we have is the most beautiful thing in the world." Forbidden love | Life and style | The Guardian
huyu kijana alitakiwa aweze kudeal na hili jambo kabla halijafikia hapa lilipo.
hakuona hata dalili? kipofu?