TANZIA Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma

Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha taarifa hizo za kifo cha mama mzazi wa Mh Halima Mdee leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa na taratibu zingine za mazishi zitafuata.

Mama Halima Mdee.jpg

Aidha, Kabla ya kifo chake Bi.Theresa alipata nafasi ya kutembelewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hospitali ambayo alikuwa akipatiwa matibabu.
 
View attachment 3056847
Aidha, Kabla ya kifo chake Bi.Theresa alipata nafasi ya kutembelewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hospitali ambayo alikuwa akipatiwa matibabu.
Kutembelewa tembelewa na Wakubwa hasa Mgonjwa akiwa ama Mahututi au hajapona sawa si vizuri sana.

Pole sana Dada Halima Mdee kwa huu Msiba mzito wa Mpendwa Mama yetu Theresia.

Kaumaliza mwendo na apumzike kwa Amani katika Nyumba yake ya Milele siku ambayo mtamzika.
 
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma

Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha taarifa hizo za kifo cha mama mzazi wa Mh Halima Mdee leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa na taratibu zingine za mazishi zitafuata.

Aidha, Kabla ya kifo chake Bi.Theresa alipata nafasi ya kutembelewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hospitali ambayo alikuwa akipatiwa matibabu.
Duh! Pole nyingi ziende kwa familia nzima ya Mdee 🙏
 
Back
Top Bottom