mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kutembelewa tembelewa na Wakubwa hasa Mgonjwa akiwa ama Mahututi au hajapona sawa si vizuri sana.Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma
Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha taarifa hizo za kifo cha mama mzazi wa Mh Halima Mdee leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa na taratibu zingine za mazishi zitafuata.
View attachment 3056847
Aidha, Kabla ya kifo chake Bi.Theresa alipata nafasi ya kutembelewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hospitali ambayo alikuwa akipatiwa matibabu.
Duh! Pole nyingi ziende kwa familia nzima ya Mdee 🙏Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma