Mama mzazi Wa Nabii Geordavie: Mwanangu sio mtu wa kawaida Aliwaona MUNGU Na Yesu Angani

Ni abradabra tu, hakuna ukweli wa hayo aliyoyasema mama huyo. Mtoto naye humsifia mama yake kuwa amezaa nabii mkuu. Akili zetu nazo zina viwango vya utambuzi na upambanuzi wa mambo, wapo wenye IQ kubwa na wengine ndogo, low minded ndio hudanganyika na kupumbazika
 
Yeye na mtoto wake ni wezi tu hawana jema lolote.
 
Yohana 4:24: Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…