MAMA: Mwanangu njoo nikufundshe hesabu.
MTOTO: Sawa mama.
MAMA: Kwa mfano shangazi yako
akakupa Maandazi mawili Halafu
Akakupa tena Mawili jibu lake litakuwa nini?
MTOTO: Asante Shangazi...
MAMA: Mwanangu njoo nikufundshe hesabu.
MTOTO: Sawa mama.
MAMA: Kwa mfano shangazi yako
akakupa Maandazi mawili Halafu
Akakupa tena Mawili jibu lake litakuwa nini?
MTOTO: Asante Shangazi...