Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very good advice. Very goog indeedInategemea na eneo mkuu..kuna maeneo kibanda cha mama nitilie ni mahala pake..kwa mfano maeneo yenye ujenzi..ni aghalabu kukuta wabeba zege wakila chips..
Kibanda cha chips weka karibu na chuo/shule..
Hata mimi nafikiria hii biasharabt all in all ukiweza kupangiliaa ugawaji wako wa chakula mama ntiliee ina faida kuliko chips
unaweza nunuaa mchele kilo mojaa wa 2000/1800 ukatoaa sahani 6/7 ikupungua saana ni sahani 5 zidisha hapo kwa mahesabu ya haraka haraka una shingap??mengine utamalizia mwenyewe