Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Feb 9, 2025 #1 Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani
Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 776 Reaction score 1,132 Feb 9, 2025 #2 Zoezi linaanza lini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Feb 9, 2025 #3 Mpaka huu uchaguzi upite watu watakuwa wametumika vya kutosha
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 9, 2025 #4 Halafu gesi ikiisha watawajazia?
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,334 Reaction score 5,829 Feb 10, 2025 #5 T Mkalukungone mwamba said: Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani Click to expand... Tivu ake anasemaje?
T Mkalukungone mwamba said: Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani Click to expand... Tivu ake anasemaje?