Mama plus tiba ya magonjwa ya uzazi

kiroroma2630

Senior Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
150
Reaction score
34
Inamatokeo mazuri kwa kutibu,kusaidia na kuzuia uvimbe(fibroid),tezi na maotea katika tumbo la uzazi.
Maumivu ya tumbo la mwezi-mgongo,kiuno,nyonga na miguu.
Kuzibua mirija ya uzazi na kurekebisha mfumo wa uzazi.
Kurekebisha na kutibu matatizo ya hedhi.
KWA MAELEZO ZAIDI 0786522229
 

Attachments

  • 1410458939024.jpg
    37.1 KB · Views: 459
  • 1410459046751.jpg
    50.2 KB · Views: 377

sifa kubwa ya dawa za miti shamba zetu ni kutibu magonjwa mengi iwezekanvyo sifa nyingine ni kuvuma kwa muda mfupi ,nakumbuka enzi za ngetwa na ngoka 11 nazo zilikuwa zinatibu magonjwa mengi kama hii mama plUs,tahadhari mnakibali cha TFDA na TBS
 
unaweza kuniambia ni dawa ipi ambayo uliwai kuona yenye tbs?
 
Nikueleweshe ni kwamba iko hv wizara ya afya ndio wanatoa vibali kupitia kitengo cha tiba asili na co tbs wala tfda
 
Na nyingi hazionyeshi ingredients zake, na ukiwauliza watengenezaj hawakuambii wamechanganya nini na nini. Je kama am allergic to something in the dawa
 
Napatikana sinza lion hotel na magomeni kagera kituo cha oil com
 
Ingredients:traditional herbs,moringa aloifera,aloe vera &medicine spices
 
Kuna mwenzake inaitwa BABA PLUS hii nayo cjui inatibu magonjwa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…