Thanks babes๐๐Taswila ya tabasamu lako la asubuhi bado lipo kwenye mboni ya macho yangu
Nakuona hapa kila dakika
U mzuri kama mauwa ya kondeni mpenzi wangu๐๐
Faidi mapema date kimkakati usiende full margins๐๐๐ yani kila kitu kipya
Maneno nishayapata Bado kijana wa kumuandikia Sasa๐๐๐bado wewe Aaliyyah๐
Ushatembezewa mkuuyege hadi unaulilia ukiwa umeulalia kufudifudiJamani hamjambo?
Love is a beautiful thing
Mama pretty nimezama penzini.. baby wangu upo humu .. I love you so much๐๐๐
Watu wana maupendo ila wanawake wa kuwamwagia hawapoWoote hao wako Mama pretty au wamejitolea tuu? Jf ๐๐
Nimekupenda hii picha asee Ina meseji moja babkubwa sana
Thanks for your love baby.Kwa kawaida kama umempenda mwana jukwaa mmoja basi ni sawa umetupenda wote.Jamani hamjambo?
Love is a beautiful thing
Mama pretty nimezama penzini.. baby wangu upo humu .. I love you so much[emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani๐๐๐ila humu
I love you more sweetheart, queen of my heart, no one like you,yourmy everything.๐
Jamani hamjambo?
Love is a beautiful thing
Mama pretty nimezama penzini.. baby wangu upo humu .. I love you so much๐๐๐