Elections 2010 Mama Salma aingia Arusha kwa mbwembwe

Ni kwanini apigiwe vingora? Hivi mke wa Lipumba akipita vingora vinapigwa. Huu ndio wizi na utumiaji vibaya wa vyombo vya serikali xoxo:nono:
 
Mtu hajaomba unampa, akiamua kumsetiri mbwa wake unamweka lupango!
Nakubaliana na wewe....sio haki kabisa, mimi umenitupia kitu nisichotaka, nikaona kinamfaa mbwa wangu. sasa tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…