Mama Salma fuata nyayo za mstahafu Kassim Majaliwa kwa kustahafu jimbo la mchinga,ili ubaki na heshima

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,432
Kimsingi wanacnchi wengi wanatamani upumzike Ubunge wa jimbo la mchinga ,umekua mbunge kwa miaka 10 ,wa jimbo miaka 5 na Taifa miaka 5 ..wananchi wa mchinga wanakushukuru

Ukiamua kufuata nyayo za Mhe Majaliwa ,wananchi wa mchinga watakushuru sana kuliko kuendelea kun'gang'ania ubunge wa mchinga .

Huu ni ushauri ambao ujapewa na watu wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…