Elections 2010 Mama Salma Kikwete akatika Tabora

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
Akiwa na mpambe wake Mwamtum Mahiza, mbele ya wakina mama wa Tabora huyu mama amekuwa akiyarudi kama sehemu ya kuomba kura. Hivi Watanzania tunataka wakata viuno? Matatizo yetu sisi ni nini haswa hadi waje na huu utani wao wa kukatika viuno?
 
wacha wakatike tutawaalika siku ya kumuapisha new prentsdaa Dr wps
 
Tuwekee video clip...Ila sidhani kama ni shida kwa first lady kucheza ngoma za kitamaduni...Kama huna video tuwekee hoja zake tuzichambue.
Shukran in advance.
 
Tuwekee video clip...Ila sidhani kama ni shida kwa first lady kucheza ngoma za kitamaduni...Kama huna video tuwekee hoja zake tuzichambue.
Shukran in advance.
ilikuwa kwenye taarifa ya habari ya chanel ten,anacheza wimbo wa marlaw wa hatuelewani,very funny kwa huyu mama
 
duuuh mama anaonyeshamauno loh hiyo inavutia kweli
 
JF hamuwezekani! Hata hii mmeshaitundika humu?...
Nimeburudika kumuona mama wa kwanza akilimudu jukwaa ...........Burdaniiiiii!!!
 
JF hamuwezekani! Hata hii mmeshaitundika humu?...
Nimeburudika kumuona mama wa kwanza akilimudu jukwaa ...........Burdaniiiiii!!!

tunaomba picha kama zipo tutafurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…