Elections 2010 Mama Salma Kikwete anusurika kipigo Tunduma

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Jana Tar.18/10/2010 mama Salma Kikwete alionja joto ya jiwe kutoka kwa wenyeji wa Tunduma wkt akirejea kwenye kampeni Sumbawanga wananchi hao walitaka kuponda gari la mama Salma alikuwa kapita njia ya vumbi ya Msasani na kutokea Sogea. Wenyeji hao wamesema wamechoka na CCM.
 
Duh, jamani kweli watu wameichoka hii chama ya mafisadi.
 
ninamchukia huyu mama kama ninavyomchukia manafiki mkubwa jaji lewis makame na tume yake ya uchaguzi
 
No nadhani walifanya vizuri kutomponda mawe manake wangekichafua chama chetu cha maendeleo na mapambano na mafisadi. Hakuna mawe mazuri kama kuwapiga chini siku ya kupiga kura!
 
Anatafuta chakula cha familia si ndo wanawake wakiwezeshwa wanaweza! amewezeshwa na chama na kaweza kweli!
 

Mene, Mene, Tekel, Upharsin!
 
Mawe halali ya kuwapiga kijani ni kura yako 31/OCT/2010, hapo tuu ndipo kuna mawe makali ya kuwapiga!!!
 
Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chapaaaaaaaaaaa huyooooooooooooooo, hana ishu hajiamini yeye na mumewe na riz hovyo kabisa, ni kheri wangemponda mawe tu hana maana huyu Mama Chalma.
 
No nadhani walifanya vizuri kutomponda mawe manake wangekichafua chama chetu cha maendeleo na mapambano na mafisadi. Hakuna mawe mazuri kama kuwapiga chini siku ya kupiga kura!

You are right kaka
 


Tuwatakie kustaafu kwema kwani hakuna mapana yasiyo na ncha kali...............
 
Kama mme wake JK walimpopoa mawe kule Mbeya, sembuse mama Salma? Kusema kweli hata kama wakifanikiwa kurudi Ikulu sifa ya Mama Salma imeshuka chini hasa kutokana na kufuja mali ya nchi kwa shuguli za kampeni ya mme wake. Binafsi siamini kwamba ni CCM wanaghalomia safari zake. Ajilaumu mwenyewe.
 
Jamani Kwani Malaya Mpaka Atembee na Mume wa Mtu Tu?... Babu aliniambia Malaya ni Mtu asiyelala Kitanda Kimoja na Mume au Mke wake kwa zaidi ya siku kadhaa
 
Jamani Kwani Malaya Mpaka Atembee na Mume wa Mtu Tu?... Babu aliniambia Malaya ni Mtu asiyelala Kitanda Kimoja na Mume au Mke wake kwa zaidi ya siku kadhaa


Hivi dereva wake ni wa kike au kiume?????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…