Mama Salma Kikwete ulifikiria mara mbili kabla ya kutamka ulichokitamka siku ya Mtoto wa Kike?

kuweni na adabu saingine nyie wabongo, hamna kazi za kufanya tupieni thread za kukomaa na serikali iongeze ajira au ifungue mianya ya biashara na si kuchokonoa wamama bila nidhamu..pumbav kabisa kwanza kuandika hujui mpangilio wa hoja hadi ueleweke unasema nini ni hadi paragraph ya mwisho..rudi shule shenzzz
 
SijBahatika kupata majaribu yao pengine siku moja watanitega
 
.
Akili ya binti katika ushawishi haijawahi kubadilika kwa maelfu ya miaka, kilichobadilika ni utamaduni na teknolojia tuu.

mkuu hata zama zile za mkimiliki nyumba ya bati mabint hua kwako kuliko mpira wa konaa
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe .

Hizi kauli hazina staha kutolewa mbele ya kadamnasi hata kama jinsia ya hadhira iliyopo ni moja .

Neno "kupanuliwa" wapanuaji" kwa mtazamo wangu ni makali sana aisee hayana hata tafsida ya kuelezea alichokusudia .

Anyway mimi ni mpanuaji mwenye nia nzuri tu
 
Salma Kikwete amewaambia mabinti waande wakawaambie kina nani "waache kubana mapaja yao" ????
 
Salma Kikwete amewaambia mabinti kwamba kina nani "waache kubana mapaja yao" ????
 
Kikwete akiwa katibu wa CCM wilaya alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya shule ambayo bi Salma Rashid alikuwa anafundisha.

Kikwete hakuwa na mke wakati huo, na uhusiano ulianzia hapo mengine ni historia.
Sikweli
 
Wanaume mliozoea ' Kuchokonolewa ' Kibaiolojia huwa mna tabu sana. Siyo Kosa lako kwani najua fika kwamba Magomeni Mapipa kwa Macheni pamekuharibu mno.
 
Kikwete akiwa katibu wa CCM wilaya alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya shule ambayo bi Salma Rashid alikuwa anafundisha.

Kikwete hakuwa na mke wakati huo, na uhusiano ulianzia hapo mengine ni historia.
Sky eclat,afu akamwambiaje
 
Tumekuelewa nadhani ujumbe umefika
 
Kikwete akiwa katibu wa CCM wilaya alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya shule ambayo bi Salma Rashid alikuwa anafundisha.

Kikwete hakuwa na mke wakati huo, na uhusiano ulianzia hapo mengine ni historia.
duh aisee! salute kwako,unaonekana u mjuvi wa wajuvi infact ni muhenga ulietukuka,salute again…
 
Jibu swali wewe ju'ha! Ni mazingira gani ambayo mtoto mdogo anaweza kukushawishi kingono jitu zima kama sio kwamba una tabia za kifataki?! Na ni ju'ha tu ndie anaweza kujisifia ujogoo kwa vibinti vidogo manake hana guts za kuwa-face watu wazima wenzake!! To be honest, you're too low na wanaokuunga mkono ni maju'ha wenzako though, inawezekana ni vijana wadogo huku wewe ukionekana wazi ni jitu zima!!!
 
This is typically non sense.
Wala hujamwelewa
Umebaki kubabaikabaika tu
Mara Rijali Mara Mara ooh watoto wa kike wanakushawishi!

Pumba
Jamaa mpumba'vu huyo! Tangu zamani nilishamdhrau lakini hivi sasa imenibidi nimdharau maradufu.
 
Jamaa mpumba'vu huyo! Tangu zamani nilishamdhrau lakini hivi sasa imenibidi nimdharau maradufu.

Kuna ' Tuzo ' yoyote ya ' Nobel ' unaipata au ' Kombe ' lolote au ' Pesa ' yoyote kwa ' Kunidharau ' Mimi? Pumbavu.
 
J.u.h.a ni yule ' aliyekuhifadhi ' tumboni mwake miezi ' Kenda ' na ' Kukutapika ' Kibaiolojia ' Leba '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…