Mama Salma's 47th birthday party

Mama Salma's 47th birthday party

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
12_10_hhw05p.jpg


Source: Daily News, 2/12/2010
 
Kweli msanii tunaye, hiyo ndiyo fani yake na si kuongoza nchi
 
Huyu anafaa kwenda kupiga tafu Msondo Ngoma irudu katika hadhi ya zamani
 
Naona baba ridhiwan anatuonyesha picha halisi ya mambo anayoyaweza na sio kuongoza nchi.
 
Wajameni mwacheni jamaa amfurahishe mwandani wake....kind of sexy, even if it is of course drama in a making....haya wanaume mfano ndio huo, waimbieni wake zenu sweet love songs/poems, JK kawapa model...hahahahaha....
 
raisi wa jamhuri ya muungano wa ccm na cuf anonesha ujuzi wake wa kupiga zeze
 
Hay akifanya Obana... Rais ana upendo, anajumuika, mtu wa watu, family man... na sifa zote atapata... akifanya Rais wa TZ Ooh msanii... tujenge tabia ya ku-appreciate vyetu jamani...
 
Yupi ni housegirl wao nikatoe posa?....sijui ni huyo wa tatu toka kushoto?...imagine kuoa ikulu hata kama ni HG

hapo nahisi kuondoa huyo mzee,na jamaa mwenye simu(atakuwa mlinzi),waliobaki wote ni uzao wa bwana mkulu....hata hao wadogo si wajukuu...ni.....
 
inapendeza mimi sijaona tatizo ila mwandishi ametubania kuwa kuna watoto wangapi pamoja na wafanyakazi wa nyumbani
 
Alichofanya ni kizuri, mzazi anatakiwa awe entertainer
 
Hay akifanya Obana... Rais ana upendo, anajumuika, mtu wa watu, family man... na sifa zote atapata... akifanya Rais wa TZ Ooh msanii... tujenge tabia ya ku-appreciate vyetu jamani...

Mtu kama hawi serious kwenye mambo serious atakuwaje kwenye yasiyo serous?
 
Back
Top Bottom