Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,088
Reaction score
2,287
Nyie jamaa miaka nenda rudi mmekuwa mkiimezea mate Ardhi yetu, tunamuasa Raisi wetu asije akaingia kwenye mtego wenu wa kutaka kuja kuwekeza kwenye masuala yahusio Ardhi, tutakuwa tumekwisha. Chonde Mama Samia, hawa wasikuhadae.
 
Nyie jamaa miaka nenda rudi mmekuwa mkiimezea mate Ardhi yetu, tunamuasa Raisi wetu asije akaingia kwenye mtego wenu wa kutaka kuja kuwekeza kwenye masuala yahusio Ardhi, tutakuwa tumekwisha. Chonde mama Samia hawa Kalenjin na Kikuyu wasikuadae.
Hana huo uwezo
 
Kenyata family wana shamba hekari laki 5 kwenye fertile land ya kenya...nendeni mkanunue kwake wananchi wake.
 
Kenyata family wana shamba hekari laki 5 kwenye fertile land ya kenya...nendeni mkanunue kwake wananchi wake.
Si mmesema Mnataka equal business competition,Tunakuja huko TZ tujue Nani anajua kununua mashamba,just wait wacha uoga
 
Hehehe bora muendelee hivyo kutuogopa maana kwa kweli mkiachia tutawakoloni kabisa.....
Tunakumbuka maneno ya Rais wenu aliyepita Mwai kibaki, akiwa ziarani ughaibuni alinukuliwa akiwashawishi wakenya wenzenu waje wachukue Ardhi ya Tanzania ipo kubwa na ya kutosha.Mkome kabisa, mwambieni Uhuru mgawane aliyonayo
 
Hamna huo uwezo mmeshindwa kujikoloni mtatuweza nchi kubwa na yenye nguvu kama Tanzania?Rais wa Tanzania akija Kenya ni habari kubwa lakini wenu akija Tanzania ni kitu kidogo Sana.

Licha ya mlivyokaza na kuogopa Wakenya, nilishangaa kumbe kuna Wakenya tayari wamekodi mashamba makubwa huko, sasa siku mkiachia ndio mtakoma.
 
Licha ya mlivyokaza na kuogopa Wakenya, nilishangaa kumbe kuna Wakenya tayari wamekodi mashamba makubwa huko, sasa siku mkiachia ndio mtakoma.
Kwanza hatuwaogopi wakenya.hamna maajabu yoyote.kwenye suala la ardhi bado ardhi itaendelea kuwa ya Watanzania chini ya Rais.
 
Licha ya mlivyokaza na kuogopa Wakenya, nilishangaa kumbe kuna Wakenya tayari wamekodi mashamba makubwa huko, sasa siku mkiachia ndio mtakoma.
Kama kuna wawekezaji WA maana shida iko wapi.kukodi maana yake ukizingua unanyangwanywa hapohapo.
 
Back
Top Bottom