kwa hiyo mama samia hajaongoza miaka 10 kwenye umakamu na urais? au unajichetua akili zako.Kwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
(1). NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
(2) MWINYI - Ruksa.
(3) MKAPA - Ukweli na uwazi.
(4) KIKWETE - Ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya.
(5) MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.
Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.
HONGERA SANA MAMA !!!
Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara,kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.
Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).
Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.
ACHENI UNAFIKI.
Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.
KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.
Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".
Nitarudi baadaye kidogo.........
Ahsanteni.
Kwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Huyu tunaye mpka 2035 ndo awamu yake inakwisha kwahiyo ni mikumi sio mitano tenaKwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
(1). NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
(2) MWINYI - Ruksa.
(3) MKAPA - Ukweli na uwazi.
(4) KIKWETE - Ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya.
(5) MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.
Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.
HONGERA SANA MAMA !!!
Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara,kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.
Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).
Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.
ACHENI UNAFIKI.
Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.
KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.
Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".
Nitarudi baadaye kidogo.........
Ahsanteni.
kama akipata 2025 mwisho ni 2030 kwa mujibu wa katibaHuyu tunaye mpka 2035 ndo awamu yake inakwisha kwahiyo ni mikumi sio mitano tena
Umakamu sio uraisi mwelewe mwandishikwa hiyo mama samia hajaongoza miaka 10 kwenye umakamu na urais? au unajichetua akili zako.
hii unanukuu kutoka wapi?kwa hiyo mama samia hajaongoza miaka 10 kwenye umakamu na urais? au unajichetua akili zako.
Mmmh huyu tuende nae mpaka 2030 hapana kwa namna alivyo ni tutafikia hatua za kupigana na kulipuana kama huko afghanistanMean itakua msimu wake wa kwanza 2025-2030 then 2030-2035?
Barabara zinajengwa huyu mama akikaka miaka kumi nchi itapiga hatua kuliko kawaidaMmmh huyu tuende nae mpaka 2030 hapana kwa namna alivyo ni tutafikia hatua za kupigana na kulipuana kama huko afghanistan
Ukute mnafiki ni weweACHENI UNAFIKI
Kweli kazi ipoKwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
(1). NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
(2) MWINYI - Ruksa.
(3) MKAPA - Ukweli na uwazi.
(4) KIKWETE - Ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya.
(5) MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.
Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.
HONGERA SANA MAMA !!!
Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara,kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.
Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).
Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.
ACHENI UNAFIKI.
Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.
KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.
Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".
Nitarudi baadaye kidogo.........
Ahsanteni.
kwa nini mnataka kulazimisha vitu, ninyi endeleeni, sisi tunamwachia Mungu, kama Mungu anataka aendelee kuongoza hakuan wa kuzuia, ila kama Mungu kaamua vingine msipoteze muda. ila kitendo cha kufuta makanisa na kuacha misikiti wazi kimemletea doa kubwa sana.Umakamu sio uraisi mwelewe mwandishi