Mama Samia ni mgombea mpya kabisa wa CCM 2025 - 2030

Kaingizwa wapi kwa makosa?
 

KAMA UMESHINDWA KUTUPA KIFUNGU KWENYE KATIBA YA CHAMA KINACHOPINGA MAMA KUPEPERUSHA BENDERA KWA MIAKA KUMI (2025 - 2035)
Kwa nini upo kimbele- mbele kushupaza shingo.ACHA UNAFIKI.

SOMA HISTORIA NDUGU YANGU.Hakuna kipindi kigumu kuivusha nchi Kama kiongozi mkuu kufia kwenye "kiti".

NAWEZA KUSEMA MAMA AMEVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUIWEZESHA NCHI KUWA SALAMA NA AMANI MPAKA SASA.(Ikizingatiwa yeye ni mwanamke).

NDIO MAANA "WAJUMBE" KWA KAULI MOJA WAKAONA HAKUNA MBADALA WAKE KWA SASA NA KUPENDEKEZA AANZE MUHULA WAKE RASMI NDANI YA CHAMA (2025 - 2035).

Tumalizane ndani ya chama kwanza achana na katiba ya nchi.

Lete vifungu...........>
 
We jamaa huna akili , kifungu unapewa hutaki kukisoma


Kasome ibara ya 37 (5) na ibara ya 40


Sema tena uletewe screenshot
 
Wewe guluguja ngumbaru huelewi kuwa katiba ya nchi inaongoza katiba za vyama vyote?

Halafu wewe unaruhusiwa kuwa mjinga, ukiwa mjinga utelimishwa, unaruhusiwa kuwa mbishi, ukiwa mbishi inawezekana ukatuelimisha.

Ila kwa nini wewe unakuwa mjinga na mbishi?

Ukiwa mjinga na mbishi hatuwezi kukuelimisha (kwa sababu ni mbishi) wala wewe huwezi kutuelimisha (kwa sababu ni mjinga).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…