Sio rahisi kama unavyofikiri,
Hawapo wachezaji wa viwango hivyo, waliosalia Afrika hii, kupita hawa waliopo sasa kwny timu hizo.
Wachezaji exceptional, unaowazungumzia hawapo Afrika hii,
Walishaonwa, walishakwenda ulaya tangu late teens.
Hao unaowaona wamebaki Senegal, Nigeria, Cameron au Ghana hadi mid 20's hawana tofauti na akina Yusuf kagoma..
Wewe hujiulizi Yanga au Simba wakipangwa na timu kutoka Burkina Faso, ivorycoast au nchi nilizozitaja ni mteremko....
Wakt mwingine Mnazilaumu kamati za usajiri bure.
Simba & Yanga zina MVP's wangapi kutoka mataifa ya nje?
Wajitengenezee nyota wao...Mbona Msuva, Feisal, Mzize, na Baka wametengenezwa na Yanga hiihii.
Chama, Zimbwe, kapombe wameng'arishwa na Simba..