Mama swala la umeme litakuchafua!

Mama swala la umeme litakuchafua!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.

Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
 
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara kubwaaaa kabisa na yenye vipaza sauti za vyombo konk vya habari anasema "Umeme unazima kwa sababu tunafanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January hivi unatuonaje ss watanzania?
 
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.

Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.

03899121-030A-4613-BB6D-CD541763BA9E.jpeg
 
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.

Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Tanga mjini hamna umeme...
 
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?
Na tunalipia lakini tunaonekana vikaragosi Kuna mahali tunakwama aisee!
 
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?
Yaani Makamba ni mpuuzi sana! Hiyo Maintanence haishi! Sasa anamiezi almost mitatu mambo yale yale! Yaani mtu failure kama huyu anapataje uwaziri?
 
Sisi hatumuoni yeye tunamuona muajiri wake!.. anajichafua na anamchafua.
 
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?

UWENDA wmeagiza mitambo mipya ya KUFUA UMEME(digital)na itafungwa haraka mara Itakapowadia,,na tatizo la kukatika umeme LITAKUA historia,,NAWAZA TU
 
Yaani Makamba ni mpuuzi sana! Hiyo Maintanence haishi! Sasa anamiezi almost mitatu mambo yale yale! Yaani mtu failure kama huyu anapataje uwaziri?

Uwenda inabadilishwa mitambo ya kufua umeme kutoka ANALOGIA KWENDA DIGITAL,,kwani tenda ya kutengeneza mitambo ishatolewa???tutasubiri sana
 
UWENDA wmeagiza mitambo mipya ya KUFUA UMEME(digital)na itafungwa haraka mara Itakapowadia,,na tatizo la kukatika umeme LITAKUA historia,,NAWAZA TU
🙄
 
Yako Mambo yanamvurugia mama, mfano ziko ofisi za umma wako wafanyakazi wanafanya kazi Kama ofisi za kwao, leo nimeshuhudia ofisi moja ya umma inakwamisha ujenzi wa miradi ya uviko kwa kuzuia kupitisha malipo ya gharama za vifaa kwa sababu za hovyo kabisa.Pia kwa upande wa umeme Ni shida..
 
Duh! Kuna uozo mwingi sana nafikiri kuje kuanzishwe Uzi maalum wa kusema madudu yote ktk sekta mbalimbali.
 
Back
Top Bottom