Unyonge ndio unafanya tunyongwe!, nafikiri hii nchi Kuna mahali wananchi tunakwama!.Yaani mgao wa umeme hata wakiufanya Mwaka mzima unadhani tutawafanya Nini mkuu?
Tume Ni Yao,usalama Ni wao.Wanatufanyia hisani tu mzee maana hatuna Cha kufanya zaidi ya kulia Lia tu mzee.
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara kubwaaaa kabisa na yenye vipaza sauti za vyombo konk vya habari anasema "Umeme unazima kwa sababu tunafanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January hivi unatuonaje ss watanzania?Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.
Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.
Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Tanga mjini hamna umeme...Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.
Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Na tunalipia lakini tunaonekana vikaragosi Kuna mahali tunakwama aisee!Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?
Yaani Makamba ni mpuuzi sana! Hiyo Maintanence haishi! Sasa anamiezi almost mitatu mambo yale yale! Yaani mtu failure kama huyu anapataje uwaziri?Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January mbona mnatufanya hayawani hivi watanzania?
Yaani Makamba ni mpuuzi sana! Hiyo Maintanence haishi! Sasa anamiezi almost mitatu mambo yale yale! Yaani mtu failure kama huyu anapataje uwaziri?
Huku kigoma nako umeme unakatika! Wakati hawapo kwenye grid ya taifa!Maajabu makubwa!Tanga mjini hamna umeme...
Duh! Kuna uozo mwingi sana nafikiri kuje kuanzishwe Uzi maalum wa kusema madudu yote ktk sekta mbalimbali.Yako Mambo yanamvurugia mama, mfano ziko ofisi za umma wako wafanyakazi wanafanya kazi Kama ofisi za kwao, leo nimeshuhudia ofisi moja ya umma inakwamisha ujenzi wa miradi ya uviko kwa kuzuia kupitisha malipo ya gharama za vifaa kwa sababu za hovyo kabisa.Pia kwa upande wa umeme Ni shida..