Mama Terri!


Kazi ipo!!!!!
 
Mkuu Bokassa, Umem-miss mama Terry au mafunzo yake?!
 
i think wengi wetu hapa ni vipi kuhusiana na zile harakati zake za ku fight ngoma?maana kimya kilikuja ghafla wakati moto wake ulikuwa mkubwa kinyama! ndo kusema hajali tena watanzania kama alivyokuwa akisema wakati ule?au aliposema ataibua mauchafu ya wale wala kula zetu ndo ikawa mwisho wa kampeni???duh i luv ma country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…