Mama Terry wa Radio one....mmmmh

Mama Terry wa Radio one....mmmmh

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
672
Reaction score
79
Wadu hivi yule mama Terry aliyekuwa ana kipindi Radio one cha mambo ya ukimwi na lishe bora siku hizi yuko wapi. Muda fulani aliibua tifu na wabunge au ndo wameshamchakachua?????? Where is this lady?
 
Siku hizi huwa namuona kwenye kipindi fulani cha TV TBC1 anawahoji wajasiriamali wadogo wadogo. Nimesahau jina la kipindi.
 
du njaa hizi zinatuua jamani. Alitangaza sana hospitali yake, alianza kujitangaza kupitia radio One na kujaribu kugombea nafasi za uongozi ndani ya CCM, akajaribu kuvaa mavazi yenye utatanishi yaliyokuwa yanaonesha mzigo wake, sasa ameingia kwenye TV i hope mwaka huu anaweza kupata japo ka nafasi fulani.
 
Siku hizi huwa namuona kwenye kipindi fulani cha TV TBC1 anawahoji wajasiriamali wadogo wadogo. Nimesahau jina la kipindi.

Unajua TBC wanaruhusu uchukue kipindi on a trial basis kabla huwaanza kulipia. Na ndivyo mama Terry alivyofanya. Baada ule muda wa trial kuisha, akataka aongezewe. Ila alikataliwa na kutakiwa alipe kama anahitaji kuendelea na kipindi chake. Sasa sijui aliishia wapi tena.

Mambo ya bongo hayo, katoka kwenye ukimwi, vyakula, hospitali, siasa, sasa anahoji wajasiria mali! Kaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom