Mama tuundie tume huru

Mama tuundie tume huru

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mh Rais tuundie TUME HURU itakayochunguza uhalali wa nyaraka za baadhi ya wabunge.

Kodi zetu zinawalipa wa bunge feki,kama vipi basi turudishe kodi ya kuku na mbwa ili kupanua wigo wa kodi zakuwalipa wa bunge feki.
 
Tume ikiundwa na Rais kutakuwa na utofauti gani na Tume ya Nec inayoteuliwa na Rais?.

Mimi naona itakuwa inatekeleza maagizo yaleyale kutoka kwa aliyewateua.
 
Hayo tuyaache. Hata mama mwenyewe hakushinda kihalali. Kura milioni kumi na mbili ziliandaliwa na Mr. Mimeno/Mahera na Mzee kipara/jaji Kaijage.

Mwendakuzimu alibaka uchaguzi wote halafu Mungu alivyo fundi....
 
Back
Top Bottom