Mama tuvute tu subira, mikangafu na mikweche ina tabu zake

Mama tuvute tu subira, mikangafu na mikweche ina tabu zake

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Nimeona comment huku kuwa vichwa vya trenI vipya vitakuwa tayari 2023, hivyo tutaanza na vilivyotumika kwanza.

Hii reli tumejenga miaka mitano kwa pesa ndefu kusubiri mwaka mmoja sio shida mama, haya magari used yanatutoa jasho, sembusee trenI? Kitu kipya kina raha yake. Mama isitoshe 2023 hiyo reli hata gairo itakuwa haijafika tuvute subira tu, yakija iwe imefika angalau dodoma,

Kama behewa kukuu tunazo mama nazo kilasiku zinachochora, mama zikija kukuu kesho tu watakuambia bearing zimeisha, mara upepo wa break hamna taa haziwaki.

Kuna jamaa yangu alinunua marcopolo used kutoka spain, kiilasiku yuko gereji, mwishowe aliwazawadia biashara United, nao limewashinda wame li ground,
 
Mambo ya ajabu sana. Eti wanunue vikuukuu halafu wavifanyie matengenezo! Unaweza kuta bei ya hivyo vikuukuu + matengenezo ikawa gharama yake ni juu kuliko vichwa vipya.
 
Back
Top Bottom