Mama usikae sana huko

Mama usikae sana huko

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Kaingia kigali

IMG_20210802_135208.jpg

IMG_20210802_134823.jpg

IMG_20210802_134819.jpg

IMG_20210802_135121.jpg

IMG_20210802_134816.jpg

IMG_20210802_134752.jpg

IMG_20210802_134755.jpg
IMG_20210802_134726.jpg

IMG_20210802_135109.jpg

IMG_20210802_173534.jpg

IMG_20210802_173539.jpg
 
Attachments

  • twitter_20210802_173332.mp4
    2.8 MB
  • twitter_20210802_135933.mp4
    26.8 MB
Hamjamwambia magari ya fire hayajazima moto kule morogoro, jiji la Dar liko gizani?
 
Eti tunafanya mapambano ya corona
haha itachukua muda
Picha zote wamevaa ila mwisho wameona zinawabana ikabidi tu wazivue!
sasa hapo wameishajisahau wamevua barakoa zao
Mama akirudi tafadhalini akae karantini 14 days
au hata 30 days ili kujiridhisha!
Chanjo aliyopata isiwe sababu ama kigezo cha yote haya!
IMG_8429.jpg
 
View attachment 1877374
WAMEKAA UMBALI WA MITA MOJA SEMA HAWAJAVAA BARAKOA
 
Hapa hamna kitu aisee!! 2025 Ccm nawaomba pitisheni mgombea mwingine kuikoa nchi .

Tanzania hatuna upinzani, kama tungekuwa na vyama vya upinzani kama nchi nyingine za Africa 2025 ulikuwa mwaka wa kuchukua nchi ila kwa waganga njaa, watafuta kiki , wanamihemuko na upinzani usio na agenda wala haujui unasimamia nini kama wa Tanzania hata ashuke malaika toka mbinguni hawawezi kuchukua nchi!

Mapimbi, ndezi , nyumbu sana hawa wapinzani njaa wa Tanzania.
 
Unahaki ya kuanzisha chama chako Mkuu.
 
Eti tunafanya mapambano ya corona
haha itachukua muda
Picha zote wamevaa ila mwisho wameona zinawabana ikabidi tu wazivue!
sasa hapo wameishajisahau wamevua barakoa zao
Mama akirudi tafadhalini akae karantini 14 days
au hata 30 days ili kujiridhisha!
Chanjo aliyopata isiwe sababu ama kigezo cha yote haya!
View attachment 1877374
Wamechanjwa
 
Back
Top Bottom