Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mkuu naona umecomment kama vile wewe ni muwakilishi/msemaji wa wana jf wote humu!!Hatufungui hiyo video.
Ila sisi kikubwa wako nje, hayo mengine hayatuhusu.
Naunga mkono hoja kwa 100% mkuu.Hatufungui hiyo video.
Ila sisi kikubwa wako nje, hayo mengine hayatuhusu.
Jana mtaani kwangu nimepita watoto wa kike wa miaka chini ya 13 wanapiga story wanasema Umber ruty kaolewa eti!!! Kimoja kakauliza yule aliyeshikwa naye au mwingine!!! Hehe nikasema lahaulaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app