Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Feb 12, 2026 #1 Mwanachama wa CHADEMA azimia ndani ya Mahakama baada ya kumsikia Mwenyekiti wake, Tundu Lissu akidai kunyimwa chakula Mahakamani leo Februari 12, 2026. Your browser is not able to display this video. Kuhusu mwenendo wa Kesi Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026
Mwanachama wa CHADEMA azimia ndani ya Mahakama baada ya kumsikia Mwenyekiti wake, Tundu Lissu akidai kunyimwa chakula Mahakamani leo Februari 12, 2026. Your browser is not able to display this video. Kuhusu mwenendo wa Kesi Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 12,213 Reaction score 28,916 Feb 12, 2026 #2 Drama za kijinga sana unaweza kukuta hilo limama linatesa ndugu zake kishenzi ila linaigiza kulia hapo USSR
Drama za kijinga sana unaweza kukuta hilo limama linatesa ndugu zake kishenzi ila linaigiza kulia hapo USSR
K konalipin JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,313 Reaction score 2,414 Feb 12, 2026 #3 Sio drama females are suseptible to these situations nashangaa mama yenu anafurahia kutesa watu, ni mama wa ajabu kidogo
Sio drama females are suseptible to these situations nashangaa mama yenu anafurahia kutesa watu, ni mama wa ajabu kidogo
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Feb 12, 2026 #5 ujumbe ufike
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 12, 2026 #6 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw