Mama wa Diamond ni mgonjwa

Jamaa wanalipuka pamba hata wakienda hospitali?!

hata mm nimewaza yan, huend hospital, mpk mvae sare! au wametokea kwny Send Off.
pole mama platinum, ikishindikana India faster, sawa mama.
 
Umeyaona magezeti ya rangi, eti mimba, mtu anaumwa Maralia wanakimbilia kwenye mimba, kwani mimba ugonjwaaa?
 
Pole mwaya, utapona tu uendelee kula matunda ya mwanao,
acha wenye wivu wajinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…