Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili machoni mtoto huyo mdogo pindi anapo fanya kosa au kuchelewa kurudi, mtoto yule ukimwangalia macho yamekuwa kama ya babu kuna hatari ya kupofoka.
Jamani akina mama kwa nini mama wa kambo ni wakatili sana kuliko baba wa kambo?
Ni tabia ya mtu yoyote awe mke/mume anakuwa na roho mbaya na pia, si mama wa kambo wote wana roho mbaya, na wala ugumba si sababu ya mtu asiwe na roho ya utu ndani yake.