mama wa kambo ni mama lakini!?!!!!

kuna watu wengine wanawatendea hivi watoto wao wa kuzaa wenyewe! kuna mama wa kambo wazuri sana, mtoto analelewa hadi anamaliza sekondari hajui kama ana mama yake mzazi na wala wadogo zake wanakuwa hawajui! mambo mengi mtu anatenda kwa sababu ya personality yake na sio kwa sababu ya position yake.
 
Mkuu hapo mwisho nasikitika kusemaJamii haitArudi katika hali yake ya zamani ..Hapa ni kama vile tunajaribu kurudisha Ice Age na dinosaur ...
 
Kama kuna nilomkwaza kwa post yangu naomba msamaha wa dhati. Ila ...... Mama wa kambo noma. Hakuna mama anayeweza kufanya kitendo hicho kwa mtoto wake wa kuzaa. Hiyo nakataa kabisa tusidanganyanye kwa sababu hatuonani. Acheni longolongo mnaomtetea huyo mama nawashangaa sana. Again - sory for my post
 


....he jamani mmesahau kuwa NANI KAMA MAMA?
 
Mkuu hapo mwisho nasikitika kusemaJamii haitArudi katika hali yake ya zamani ..Hapa ni kama vile tunajaribu kurudisha Ice Age na dinosaur ...
Khaaaa mbona unamwaga point za ukweli hivyo leo?!?!Tatizo hapa sio mama wa baba wa kambo.Tatizo ni tabia ya mtu...huyo mama kama asingekua na huyo binti nyumbani kwake angeweza mchukua hata wa jirani au kama angekua na wake mwenyewe angeweza akamtumia hivyo vile vile.Binafsi nimeshuhudia watu wananyanyaswa sana na mama zao wa kambo ila najua na nnaamini wapo wengine wazuri na wanamalezi kuliko mama wa kambo.Kwahiyo huyu mama ahukumiwe kama mwanamke mshenzi na sio kama “mama wa kambo“.
 

kijana mbona unakurupuka sana wewe, kuna mahali mtu amemtetea huyu mama?
 
Ala unaomba msamaha hapo hapoUnarudia kosa " mama wa kambo noma "??Kwanini usiweke neno sio wote? ..Jifunze kuongea na watu kheshima hainunuliwi..
 
Ala unaomba msamaha hapo hapoUnarudia kosa " mama wa kambo noma "??Kwanini usiweke neno sio wote? ..Jifunze kuingea na watu kheshima hainunuliwi..

Ok, isiwe ligi, ila ujumbe umefika. Kwa heri. MAMA WA KAMBO SIO MAMA (KITUO KIKUBWA)
 
Mi sio kijana wewe! Angalia... kuwa na adabu.
Mbona lugha yako kama hata ukijana ndo unaufikia?!Jinsi unavyowakilisha mada yako inaweza kuonyesha kama unastahili heshima ya kiutu uzima au la....kwa hapa umechemka!!
 
Looooo jamani mtoto atakuwa alikuwa anaota ndoto mbaya kila siku
 
LD hutaweza kumlea wakati asubuhi unaenda kazini na kumuacha na hg,wanaofanyiwa vitendo hivyo na ma hg niwengi sana yupo mmoja aliambukizwa maradhi na hg,WANAWAKE MPO??Woman right!!!

Dah, hawa mahouse girl nao wamekuwa mtihani kweli.

Dah, Mungu atulindie tu watoto wetu, maana kwa akili zetu na nguvu zetu bila na Neema yake hatuwezi kitu kabisa.

Ila huyo mama apate adhabu.
 

Dah huyo mtoto atapatwa na kisukari mapema kha!

Inabidi hawa TGNP wamwaishe kwa babu akapige kikombe mapema
 
Kufanya kwake huu ulimbukeni ni sababu ya kuwa ni mama wa Kambo au ni ushetani wake na ulimbukeni....., Sidhani kama kuna uhusiano kati ya hayo mawili; huyu mama angepata opportunity angefanya hayo kwa mtoto yoyote hata asingekuwa mama wa kambo
 
Leviticus 18:8


[TD="class: btext, colspan: 2"]

[TD="class: orange2, width: 99%, bgcolor: #FFFFFF"]
New International Version (©1984)
"'Do not have sexual relations with your father's wife; that would dishonor your father. New Living Translation (©2007)
"Do not have sexual relations with any of your father's wives, for this would violate your father.
English Standard Version (©2001)
You shall not uncover the nakedness of your father’s wife; it is your father’s nakedness.
New American Standard Bible (©1995)
'You shall not uncover the nakedness of your father's wife; it is your father's nakedness.
GOD'S WORD® Translation (©1995)
Never have sexual intercourse with your stepmother. She is related to you through your father.
King James Bible
The nakedness of thy father's wife shalt thou not uncover: it [is] thy father's nakedness.
American King James Version
The nakedness of your father's wife shall you not uncover: it is your father's nakedness.
American Standard Version
The nakedness of thy father's wife shalt thou not uncover: it is thy father's nakedness.
Bible in Basic English
And you may not have sex relations with your father's wife: she is your father's.
Douay-Rheims Bible
Thou shalt not uncover the nakedness of thy father's wife: for it is the nakedness of thy father.
Darby Bible Translation
The nakedness of thy father's wife shalt thou not uncover: it is thy father's nakedness.
English Revised Version
The nakedness of thy father's wife shalt thou not uncover: it is thy father's nakedness.
Webster's Bible Translation
The nakedness of thy father's wife shalt thou not uncover: it is thy father's nakedness.
World English Bible
"'You shall not uncover the nakedness of your father's wife: it is your father's nakedness.
Young's Literal Translation
The nakedness of the wife of thy father thou dost not uncover; it is the nakedness of thy father.
[/TD]
[/TD]
 

Hili limehusiana vipi na umama wa kambo?
Hamjasikia mambo ya ajabu yanayofanywa na wanawake kwa watoto?
Mashangazi, wasichana wa kazi, hata mama wenyewe?

Nawajua wanawake wawili mama Wa kambo lkn the kids couldn't get a better moms
 
mama wa kambo ni mama, kamkuza rafiki yangu kipenzi na wanapendana sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…