Story ya upande mmoja hii!
pole nyingi kwa mtoto aliyeteswa, ila mimi ningependa kujua nini msimamo wa mzazi na sheria imechukua mkondo gani? mtoto anaendeleaje?ndo nimemaliza kuisikiliza mkuu......huyo wake ni 1 of 100
amechelewa, nusura akute kaput. Japo ni usumbufu nivema kama akina baba mkitoka kwenye ze bingwa muwe munachungulia watoto wamelalaje/wameshindaje.
Baba mzazi kama kweli anampenda mwanawe ajue wazi kuwa huyo mke si wake bali nijinamizi maana amekuwa katili sana hana chembe hata ya huruma hata kama mtoto aliiba hela ndo amng'ate meno? labda aliona wivu wa kufaulu nakuwa wa 10 bora. Huyo mke ni balaa. hafai. hela yenyewe kapewa na baba yake huyo mtoto. col.