Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Aisee sikuitafuta ila kutokana na maelezo yako nimekumbuka sindoile baba Ni Dr anawafanyia michezo ukiwapiga pic wanajitambua Noma sana Get out.
Ma don wananunua watu kwa jamaa namcompare na yule mbibi ila Ana kijana Hadi watu wanashangaa
 
Yes mkuu ndo hyo hiyo,ni movie nzuri inadudisha moyo sana aisee.mambo ya horror hayo.
 
Kuna limama la kizungu hivo hivo likamiomba urafiki fb, mara likaniomba email eti tuwe tunawasiliana, kweli bana tukawa tunawasiliana lenyewe likawa linadai liko Marekani, ni li nesi linafanya kazi huko ila linakuja kutalii Africa sasa linajihisi lipweke bila kuwa na mwenyeji...Mnyamwezi nikaona hapa ndo penyewe ...likaniambia litakuja kutalii litapita Ghana, Sierra Leone, Kenya alafu litakuja Tz, tukawa tunawasiliana...likaniambia litakuja na zawadi yangu...siku ya siku likanitumia email kuwa limefika Africa(Ghana) sasa zile zawadi zangu (BlackBerry, Laptop na iPad) limeshazituma Kenya sasa kuna freight fee inatakiwa na lenyewe kuna hela linasubiria kutoka USA..kimoyomoyo nikasema mpigaji anataka kupigwa...likaniambia linanitumia mawasiliano ya rafiki ake aliyepo Kenya ili nimtumie 200USD alafu anitumie mzigo kwa DHL ili unifikie nilipo....nikalitumia Email kuwa haliwezi kunipiga kifala...Kuna Vikenya vinakuja juu kwenye suala la upigaji kimtandao...nilijua ni kimsela kinachovaa uhusika wa kike...
 
Umri wa huyo mama wa kizungu ni miaka mingapi? Hiyo jinsi yake ni original/ natural?
 
Nishawablock wazungu wengi sana wa aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…