TANZIA Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Mh. Temba, afariki dunia

TANZIA Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Mh. Temba, afariki dunia

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.

Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake mzazi mchana wa leo Oktoba 25, taarifa ambayo imethibitishwa na Temba mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Rest in peace Mama🕊️, pole sana Legend Temba🤝

Ukwaju wa kitambo

Screenshot_20241025_193943_Instagram.jpg
 
Duniani sisi wote ni wapangaji, wote safari ni moja; tumuombee
 
Back
Top Bottom