Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
<br /> <br / mbona iko sawani story ya kutunga au ya ukweli..hebu iweke vizuri iendane na kichwa cha habari..
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na bintiye!kuanzia alipojua kila siku ananipa vitisho kwenye sim kwamba kwanini nimemucha mwanaye! Je nimwambieje huyu mama!
<br /> <br / /br/ mama mwenyewe ameshachoka nimpeleke wapi! Kwanza ujana wake alikula na nani mpaka anitake mimi rika la mtoto wake?Huyo mama atakuwa anakutaka wewe ungea nae kiutu uzima tu
<br /> <br / /br/hali yangu kifedha ni ya kawaida tu!na sijawah kupeleka vi2 kwao hata siku moja and i wil never do!Kipato chako ni kiasi gani? zimekutembelea? maana mjini hapa ukiona unang'ang'aniwa mpaka na ma mkwe ujue si bure iko namna,isije ikawa kila jumamosi bwamzee labda ulikuwa ukipeleka vikapu kwa ma mkwe toka kariakoo na sasa vimekatika ghafla hahahahahaha!!!!!