Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

Duuh
 
Mchape nao si kautaka mwenyewe wewe vipi dogo usiishi kizembe
 
Shetani mkubwa huyo mama. Mkimbie haraka sana huyo jangili maana anataka kukuharibia future yako
 
Alikutumia meseji ukajifanya humsikii ukakata sim!!!!!???? Ukiwa muongo uwe smart kichwani.
 
Nakumbuka nilipanga nyumba na dada mmoja akiishi kwao, mtumishi wa serikali, alinisimilia changamoto zake za mapenzi kwamba zaidi ya miezi 8 hajasex, kila akiwa na mtu wakijipanga tu siku hiyo jamaa anapotea. Alisema alilogwa na Shangazi yake kwa kuiba chupi na kukipeleka kwa mganga. Mie nilikaza tu. Sasa siku moja nimetoka usiku kukojoa nje chooni, dada naye akafungua mlango wake kuja kukojoa na kuniomba nimsubiri hadi naye akojoe, kituko yaani alipandisha nguo yote juu huku hajavaa chupi, loh! Nikasubiri atoke nikiwa mlangoji pangu, alivyokaribia kwangu nilifunga mlango pasta kumkwepa lkn kitu tayari kilienda winga, nilijinyima tu yaani. Hii ikawa mara nyingi hadi akasema wazi tuzimuane, nilikataa. Ila nilikuwa mwamba sana kuikwepa ile mitego ya yule dada. Kwa sasa zaidi ya miaka 25 imepita, twaheshimiana na yule mama kwa sasa.
 
Duuh miaka 25 bado tu mnaongea kitambo sana asee vipi aliolewa!
 
Sikumoja aliniita nimuungie WhatsAapp, Facebook na Twitter. Baada ya hilo zoezi kumaliza akaomba na namba zangu kisha akaniuliza nikupigie saa ngapi? Nikamwambia muda wowote. Nikaondoka zangu, usiku akanituma sms kaniuliza
"Umelala?"
"Ndiyo"
"Na nani?"
"Peke yangu"

"Akaguna "Mhhhhh siamini", nikajifanya simsikii kama mtandao unasumbua hivi nikakata simu nikalala."

MKUU SIKU HIZI SMS ZINAWEZA KUMFANYA MTU ASISIKIE NA KUKATA SIMU,,,!
 
Muepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…