Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
 
Mtoa mada ebu funguka, kasemaje kwani katika hayo mahojiano?
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokywa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.

Usikute kuna vidume 'wameshawapanga' mtu na mama yake
watu hawana dini kwenye mambo yale kama utulivu zero
 
Usikute kuna vidume 'wameshawapanga' mtu na mama yake
watu hawana dini kwenye mambo yale kama utulivu zero
Lakini huyo maza hata mvuto hana.

Anaonekana ana mi love handles kibao.

Ila uzuri ni kwamba haya mambo ya mvuto ni ya mtu binafsi na nafsi yake.

Ukionacho wewe hakina mvuto kwa mwingine chaweza kuwa ndo dhahabu.
 
Una haraka gani?Tulia andika habari itakayoeleweka kwa kila mtu hata ambaye hajui mkasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…