Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Mbona crip yake haiji ili na sisi tumlaumu vizur
 
huyu mama kuna kituko alifanya kwenye event moja night kisa mambo haya haya ya binti yake yaani ni aibu.

ukishajijua wewe ni mtu mzima inabidi uishi kiutu uzima
Yawezekana na yeye anatafuta watu wazima wa kumtuliza mtima!
 
Lakini huyo maza hata mvuto hana.

Anaonekana ana mi love handles kibao.

Ila uzuri ni kwamba haya mambo ya mvuto ni ya mtu binafsi na nafsi yake.

Ukionacho wewe hakina mvuto kwa mwingine chaweza kuwa ndo dhahabu.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila kwangu naona una mvuto na hiyo ID ndo imenivutia
 
STIVU NYELELE ana kazi sana.... Sijui nani kamwalibu mwenzie
 
Don't remind me about this woman aliwah kuwa mama mwenye nyumba wangu, mwe mwe mwe
 
"Unajua beef langu sio mchezo nitakupiga "nimenukuu kutoka katika clip!
 

Tena bia yake safari lager anazipiga kama maji
 
unamaanisha wali mla kidaka au ??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jana nilimuona manfongo alikua anahojiwa enewz alisikitika sana anasema uyo ni mama yake hawez jibishana nae walikua kwenye gari na wasanii wenzie kuna msanii katoa maneno kumtumia uyo mama tofaut na walivyokua wanaongea
Fongo mtaratibu sana sema huyo mama yake wema ndo mswahili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…