Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

hajielewi huyo alaf anaonekana ni mrahisi sana ukimuomba gemu
 
KWANI ANA HESHIMA GANI........?
 
Mlikuwa mnatukana sana wema mlikuwa hamjui akilli yake imetoka wapi? sasa nadhani mmeshafahamu wazimu wa wema unaanzia wapi
 
Hata iweje jee wewe unaweza kumwambia mama yako kuwa 'anapayuka??' kwa watu wa pwani huo ni ukosaji wa adabu uliopindukia. Hivi hakuna mbadala wa maneno ambayo ungeweza kuyatumia??? au kwa vile ni mama wa mwenzio???
Ujue ulilolifanya ni sawa na kumwambia hivyo mama yako
 
Huyu maza kuna video niliona anaongea kwenye shughuli nadhan ilikuwa bday ya Wema...ni aibu sana
 
Hata sikuelewi unasema nn nimejaribu kucheki labda barafu anisaidie" alaf karbu jf naona ni siku yako ya 8 leo.
Huyu jamaa kaingia bila breki JF....Wewe uliandika
Kamuaribu....Mimi nikaja kukuquote nikaandiaka "Kamuharibu" halafu mkuu Jambazi akaja akanisahihisha na mimi akaandika
Kamuharibu= Kamharibu
Sasa huyu jamaa naona ugeni unamsumbua mkuu BansenBurner
 
Mliodhani vijana kama hawa ndio wanaoifanya clouds iwepo ongezeni na wazazi wao pia ...hivi unaweza kusikia conversation za kidaku hivi kwenye radio 1 mfano!?
unataka kuema nini hasa? hueleweki
una
 

"Kuna watu wamekomaa mwili na miaka mingi,ila ni watoto kiakili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…