Mama yangu anakohoa sana, inasemekana kuna vikohozi vya moyo. Naomba msaada wa dawa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu.

Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma.

Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo. Sasa kikohozi Cha moyo ndio kikoje? Na kinasababushwa na Nini?

Umri. Wake ni 63yrs
Pia ana presha na kisukari.
 
Mpeleke hospitali , kikohozi kinaweza kuwa hata dalili ya kansa ya mapafu. Ila kwa uhakika Vipimo vya hospitali baada ya ushauri wa daktari vitawapatia usahihi ni nini kinamsumbua bi. mkubwa wako

Lung Cancer: Patient Stories​

Patients living with lung cancer share their stories as well as the reasons why they chose to receive care at NYU Langone's Perlmutter Cancer Center.

Source : NYU Langone Health
 
Mzee wa bagamoyo umeshamuhukumu kuwa anayo Saratani ya Mapafu? Hata kamani kweli anayo hiyo Saratani ya Mapafu dawa zipo na anawezakutibiwa na kupona maradhi yake.Lakini ushauri mzuri aende hospitali kupimwa ili tupate kujuwa anayo maradhi gani yanayo msumbuwa?ili tuweze kumtibia na aweze kupona.
 
Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu.

Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma.

Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo. Sasa kikohozi Cha moyo ndio kikoje? Na kinasababushwa na Nini?

Umri. Wake ni 63yrs
Pia ana presha na kisukari.
Mkuu Mpe mama yako ninakupa ushauri umpeleke Hospitali akapime kwa vipimo vya hospitali itajulikana anayo maradhi gani?Kisha uje hapa utuambie Hospitali wamesemaje kuhus maradhi yanyo msumbuwa mama? Kisha tutajuwa jinsi ya kumtibu hata hayo maradhi mengine ya presha na kisukari yanatibika kwa dawa za asili na ataweza kupona kabisa akitumia dawa za asili auguwe pole mam yako.
 
Aende kwa daktari bingwa pengine ni dawa anazotumia.
 
Nawashukuru Sana watu.wangu nitafanyia kazi ushauri wenu nimuhimu Sana.
 
Anasema alikunywa Sana albendazo but still severe coughing persist.
Hiyo ni lung worm infestation, apewe dawa za minyoo jamii ya levamisole
 
Albendazole ni dawa ya flat worms, lung worms ni round worms ambayo hutibiwa zaidi na dawa jamii ya levamisole
Jamiiforums ni kila kitu Asante mkuu.
 
Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu.

Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma.

Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo. Sasa kikohozi Cha moyo ndio kikoje? Na kinasababushwa na Nini?

Umri. Wake ni 63yrs
Pia ana presha na kisukari.
Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu.

Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma.

Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo. Sasa kikohozi Cha moyo ndio kikoje? Na kinasababushwa na Nini?

Umri. Wake ni 63yrs
Pia ana presha na kisukari.
Kujua anasumbuliwa na tatizo gani. Ni vyema umpeleke hospital. Akichapimwa itajulikana huko huko. Kama dawa za huko hospital hazijafanya kazi ndani ya week. Naomba unitafute.
 
Back
Top Bottom