True Man11
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 109
- 156
Yeye anataka umuoe nani?Wakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu.
nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
mkristo.
Sio kweli kuwa kupata mke ni kazi ngumu kuliko kupata pesaYeye anataka umuoe nani?
Kupata mke ni kazi ngumu sana kuliko kupata pesa.
Kuwa makini usirudi hapa kulialia mwezi mmoja baada ya harusi.
Kila la kheri
Sio kazi nyepesi bwashee.Sio kweli kuwa kupata mke ni kazi ngumu kuliko kupata pesa
Ni kweli kabisa ila kwenye kulinganisha na pesa , sioni kama kuna faa labda useme hizi pesa za kula, kuvaa na kumiliki ka kibanda😅Sio kazi nyepesi bwashee.
Wanawake ni wengi ila wanaofaa kwenye nafasi ya mke na mama wa familia ni wachache mno na kuwapata unahitaji kutuliza akili
Wewe furahia maisha mzee hayo mambo mengine yanakuja automaticWakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
Mkristo.
Utaolewa wewe sasa, kwa kuwa anachotaka mama ni mkwe. Kama huwezi kumletea mdada basi kuna dume liko mahali linakumegaWakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
Mkristo.
nilikuwa natafuta hela kwanza na maisha mama!! sikutaka kuoa kwa hulka mtoto wa watu alale pabaya au asile anachotaka kwa wakatiMzee wa miaka 37 umeshindwaje kupata mke tangu early 30 huko
Angalia mmoja ya binamu zako, huenda akakufaa.Wakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na familia, nina miaka 37 sasa nipo tayari kuoa ila wa kumuoa sina kabisa.
Nawaza niende vijijini nikajaribu kuchukua bint ambaye bado hajawa na mambo mengi mwenye nidham na mrembo ila bahati mbaya nimeishi hapa dar miaka yangu yote sijui popote na hata wanakopatikana ma binti wanaofaa kuwa mke.
Msaada kwa anayeweza kunisaidia kwa njia yoyote baad ya kusoma maelezo yangu, nafanya kazi + biashara hivyo naweza kumudu ndoa na familia bila hofu yoyote.
Mkristo.
Michakato ni mingi na hizo matobo hua zinazingua vibaya sana hususani zikigundua jambo fulani fulani ni mwendo wa kusalandiana tu mwisho kumwaganaMzee wa miaka 37 umeshindwaje kupata mke tangu early 30 huko
Kwaa hio baharia tukusaidieje muoe mama yako basi yaan umeshindwa kusaka hata barmaid ukambadirisha tabia akawa mkeo?nilikuwa natafuta hela kwanza na maisha mama!! sikutaka kuoa kwa hulka mtoto wa watu alale pabaya au asile anachotaka kwa wakati
Sio kweli kuwa kupata mke ni kazi ngumu kuliko kupata pesa
Kuna mwanamke unaweza muoa akiwa shindikanaa ila akiolewa akatulia na mtulivu akabadilika akawa shindindikanaa ndoaniUkitaka kuona wanawake wachache amua kuoa😀