Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

Soon atasema anataka hata mjukuu basi.

BTW: Dar ina raia wanafikia 8.5M kwa hii April 2026,okota chengu yeyote humo kama ni lazima kuoa.

Wa pori ukimleta huko utaumia tu.
 
Katika vitu sitaki pressure ni suala la kuoa

Mzee Juzi alinambia oa ukiwa tyr ndani yako na sio jamii....


Agemates walionizunguka wengi watoto wapo kwa bibi, wengine kwa dada wengine kwa mama zao wengine washaachana mbele ya wazazi

Yaan kila muda wanajuta

Kuoa ni muhimu nami nikaone kususiwa bure au mpaka ninunue maini ndo ntapewa cc min -me
 
Kuna mwanamke unaweza muoa akiwa shindikanaa ila akiolewa akatulia na mtulivu akabadilika akawa shindindikanaa ndoani
Hapo umeshaoa ila before kuoa kuchagua aloshindikana sio rahisi ukiona hivo hapo ulikuwa kwenye last option au labda sijui ni nn 😀😀

Tunarudi palepale ukitaka kuoa wanawake hakuna yaan shwaa
 
"Nawaza niende vijijini"
Bro huko bush hakuna ma fala now days utaauziwa mbuzi kwa gunia.
 
Kupewa nini sasa 😂
kuna kipande kinaitwa mfereji wa hormuz ndoani kipo hiko😂😂😂
 
Ni kweli kabisa ila kwenye kulinganisha na pesa , sioni kama kuna faa labda useme hizi pesa za kula, kuvaa na kumiliki ka kibanda😅
naweza kukubaliana na ninyi nyote inatokana na aina ya utongozaji wako na aina ya wanawake unao watongoza
 
kweli hakuna mkamilifu ila kuna mapungufu ambayo ni ngumu kidogo kuvumilia au yanaweza kukufanya usifurahie ndoa yako bahati mbaya wadada wengi wanayo siku hizi nadhani sababu ya nature ya maisha (hapa sizungumzii pesa)
 
kweli hakuna mkamilifu ila kuna mapungufu ambayo ni ngumu kidogo kuvumilia au yanaweza kukufanya usifurahie ndoa yako bahati mbaya wadada wengi wanayo siku hizi nadhani sababu ya nature ya maisha (hapa sizungumzii pesa)
Kama yapi?
 
Unamaanisha nini
Huwezi sema unatafuta mke/mume hao unakutana nao kwenye mitikasi tu ya kimaisha.

Hutakiwi kutafuta mke wakati unataka kuoa, ikifika muda wa kuoa inatakiwa uangalie tu watchlist yako useme hapa nakula kiapo na flan nje na hapo ndo kama hayo ya mtoa mada pressure inakua kubwa huoni unayeendana nae mwisho wa siku unaangukia kwa hawa watumiaji wa halotel kila wiki laini mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…