Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

Tafuta beki 3 oa ufurahie maisha ya ndoa mkuu.
 
Mchakato wa ndoa nipasua kichwa sana ilinichukua miaka 7 kuamua nioe nani ila sikuwa kama wewe. Mimi nilikua nina watu wangu kabsa....

Ukiona mambo mengi tanguliza mtoto kwanza umri unaenda na maisha yetu papatu papatu mtoto atakuita babu. Una miaka 60 mtoto ana miaka 16-18...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…