Mama zetu huwambii kitu kuhusu huyu jamaa

Yaaan wafuasi wake wamekua Kama washirikina utakuta pochi ya mtu Ina maji,mafuta,udongo ,,,aisee ila ngoja tuone
 
Wanawake ni wepesi kudanganywa na ukiona biashara Yako inapendwa na wanawake/watoto basi ndio ushatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…