othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Habari ndugu zangu Mimi si mwandishi mzuri Ila naamini itasomeka tu. Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo, Kiuhalisia kabisa hapo mwanzo ilikua ni jambo la kawaida sana kusikia mzee fulani anatisha sio wa kumpinga au kumchokoza leo mambo haya yamegeuka tena yamekua na madhara makubwa kuliko awali vijana hatuna raha kabisa na maisha yetu tunavurugwavurugwa tu ukizunguuka sana unaambiwa chanzo ni mwanamke, utaangaika weee siku utapata wa kukwambia ukweli na majibu niyalele mama zetu.
Mama zetu wao ndio wametuzaa na kutulea kwa hiyo wanatujua makoko na matandu ndio maana laana ya mama ni yakuigopa sana kuliko ya mtu mwingine yeyote kwa mantiki hii wakitutaka kivyovyote ni rahisi kwao , Leo hii si hajabu
1: Kuona tunalishwa sumu juu ya kuwachukia baba zetu
Hii hulka akina mama huwa nayo wakiachana na baba zetu au hata wakiwa pamoja sema kwakua ni wameubeba uhadui wao wanayo sana si ajabu siku hizi mtoto kupigiwa simu na mama yako akijusifu kila jambo kafanya yeye pale nyumba au kukulamikai baba ako kashika pombe sana siku hizi,lakinai hakina baba hawana huo mida wakusema amdhaifu ya wenzao.
2: Watoto kutokufanikiwa na kuharibikiwa wao wasijali kabisa.
Sifa ya mama aliye mwema ni kupenda Kuona mtoto wake akifanikiwa maishani, lakini Kuna baadhi ya familia mama yeye hana mshtuko wala nini mtoto unakua mpaka unazeeka huna lolote tena kwa wanawake mtu mpaka anakonga hana ndoa na Kama aliwahi olewa basi hakudumu ukishika mimba inatoka yaani vuluvulu tu,kila jambo la maendeleo linakwama ukibuni hiki kinakufa ukizalisha hiki kinaharibika alimuradi mtihani tu. Vijana wengi uswahilini mnaowaona wameharibikiwa sio kwa mapenzi yao wengine mda mwingine wanaongea vitu mpaka unabaki unasema doh! kweli dunia nyumba ya kizunguzungu.
3: Wajane kuongezeka
Swala la Wajane limekua kubwa siku hizi baba zetu wengi wanateketea hapa na wamama wanajifanya Wajane wenye uchungu kumbe wazandiki wakubwa, mimi ile huruma ya kuwaone akina mama wanateseka na jua sijui wanaokota makopo wakuze wapate chakula imenitoka kabisa, maana wengi wao wanayataka kumtoa mume, mtoto au mjukuu kwa upuuzi wao ni jambo la fahari kwa maana hiyo astahiki huruma.
4: Wakina mama wafanyabiashara kuwa wengi kuliko zamani.
Ni kweli tunataka haki sawa na tutafute kwa kushirikiana ili tupige hatua lakini kinamna fulani siku hizi akina mama wanawadidimiza kiuchawi wanaume wasipate ili wao waonekane wanalea familia zipo familia nyingi sana siku hizi akina mama ndio watoa Kodi ya meza tena wapanga mipango ya ndani mama akisema ndio kasema wewe nani ubishe mifano ya kutosha ipo Kuna mama jirani yangu yeye anauza genge,mkaa anachoma sambuza na mihogo na vyote hivyo muongozaji ni yeye babu kakaaa tu kashika tama.
5: Kuwapangia watoto wao vya kufanya.
Ndoa nyingi siku hizi hazinamuelekeo ukiachilia mbali dunia ndipo ilipofikia lakini vijana wengi wamewekwa mikononi na mama zao, hasa jawa vijana wa pwani tena wale waliolelewa na mama zao tu yaani alitakalo mama ndio hilohilo, mama pia maisha yake yameegemea kwa mwanae iwe kumchuma ulete ridhki zake au kumuomba binti ulioolewa ukifanya mkazaji ndoa huna tena andika utaashika kwa kashfa tofauti na ya pesa hao ndio mama zetu, Kuna ndugu yangu alipanga nyumba moja huko mbagala akakuta wabibi wawili mtu na mwanae akamuuliza dalali wake we mwenyeji huku vipi hawa dalali akamthibitishia ni wema kabisa alikuja kuapata mauzauza huko ndani kumbe wale wazee wanga tena chuma ulete alijithibitishia siku mjukuu wao alipoumwa kwa muda mrefu ndipo mama yake akaja kumchukua wakamkatalia akawajibu ''mnamng'ang'ania kwakua mnawanga nae mbona afulani hamumng'ang'anii Kama huyu namchukua mwanangu" alibaki kuduwaa mama zetu hawa.
Yapo mengi Ila hayo ni baadhi pendekezo langu vijana wa Sasa mnaotafuta maisha na maendeleo msipende kila kitu kuwashirikisha wazazi au kukwambia kila mtu jijue na ujitambue umekua fanya mambo yako Kama wao walivyofanya yao zamani ilhali wakiwa mbali na wazee wao na kipindi hicho mawasiliani hakuna Kama hivi leo,sio kitu kidogo mama nimenunua kiwanja au baba ndio najenga.
Huku ndiko dunia ilipofikia.
Zingati sikulazimishi kuamini.