Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi, kuna cha ziada zaidi".
Atleast mama zetu walipata mawazo haya ila walijipiga kofi ili kujikumbushia nafasi yao ila hawa wa leo ni mwendo wa kuwa na fairy tales.
Wanaume nao wamekuwa weak, kuruhusu feminism ku-systemize mfumo mzima wa mahusiano.