Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Waberoya kazini.
Umekasirika ?
matusi ni kieelezo cha malezi duni, lishe mushkeri.....labda tatizo la afya ya akili .....pole kijana.
mpe salamu Zito na ***** wameisha neemeka na dhambi mbaya kuliko zote, dhambi ya usaliti.
Miezi kumi nyuma , mama Zito alikua mmoja kati ya kinamama waliotuaminisha kua JK ni Rais Bomu, leo anaibuka kutuaminisha kuwa huyu mheshimiwa Rais wetu ni wakufaa kuongezewa miaka mitano, kuna jambo nyuma ya pazia Waberoya, unless kama haikustui..afya ya akili ipo shakani.
Asante kaka nimekupata. hayo maneo ya bluu nakubaliana nayo kabisa ungeanza na hayo tangu awali , mbona tungekuwa pamoja mkuu, mie mwenzako nimesha-confirm wapinzani wote ni wasaliti tangu siku nyingi sana. 'kusaliti jamii iliyowaamini hapo awali'
Asante post yako imejaa ustaarabu na critical thinking this time. I always take insult smoothly and pass it to the ground like lightning conductor, especially when my message has been received , I normally don't care the response of receiver.
cheers