Nipishe nyumban kwangu " baada ya wiki 1 nilichukua kila kilicho changu, na mpaka Leo cjalud nyumbani kwake,ni mwaka sasa umepita kila siku anatuma watu nirud home na Mimi nmegoma Co'z nilihisi hanipendi' japo mambo huwa yakienda mlama huwa nampiga mizinga [HASHTAG]#mamadalo[/HASHTAG]