Mamaa Big wana raha yake bana.

Ujumbe muruaaaaa kweli huu ni PM basi tuongee kirefu.

Wee paka nini?akufanyeje,... mfanyeje? usinitanie mwanaume
km vp pete yako utaikuta kwa bucha n I'm gone forever

Wee umenambia niwe bibi wa wajukuu zako afu huku unatafuta miguu??
usntanie kwan mi miguu sina?

kwa taarifa yako NINA MIGUU NA VISIGINO vyake!!!!!

ungemwambia afute afta kusoma mi mbona nikifanya ivo nawaambiaga wanaume wafute?ili usijue?niheshimu mistaki kabisa tabia hii.
 
Ewaaaaaaaaaaaa hapo mkuu umepatia wala hujakosea.
...Hiyo inaitwa Turbo charge...ukiwa unamega lazima uwe na tochi pembeni vinginevyo unaweza kuingia porini...:smile::smile-big:
 

Nisamehe bure bibi wa wajukuu zangu,hapo sio mimi ni bacha ameniomba nitumie busara zangu upole wangu na heshima yangu kumtafutia mtoto mwenye miguu.Mimi na wewe tu na nitakuletea catalogi uchague nguo za send off kabisa.Pete usiivue tafadhali.
 
Umemsahau dada yako? Huna kwenu wewe! Yaani tangu ulipoondoka hujarudi tena nyumbani. Huyu sio yule dada yako uliyemwacha darasa la 3 ulipoondoka?

eheeeeee aaaaaahh truth hurts eenheee sa si ndo ukweli wenyewe banaaa reception saaaafiiii chini sasa kama anatembelea njiti:crutch:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…