Mama'ake anapodandia bili ya mwanawe!

kama ndio hivyo, no wonder hataki tena ajira wala ujasiriamali coz huo ni mshahara tosha! mmmmmm kwa kweli chukua tahadhari, ila na mume wa kuzaa naye alipata, huyu wangu wa ndoa na wala hatoi hiyo kwa mwezi, chezea wanaume viburi weye!! na ye yupo jf pia asome tu kwa kweli, mi pia huwa navisoma vijembe vyake humu ndani juu yangu!
 
ooh so sad ,, jitahidi ,kila kitu kitakuwa sawa mapenz gani hayo sasa , ya pesa kukandamizana kila kitu kina end iko siku maybe ata elewa kuwa sio issue kufanya hivyo

wahida hakuna suluhu na huyo mtu.......................anasema kama siwezi kumbeba huko aliko basi ahamie tu kwangu ijulikane moja nami sitaki..............
 
Last edited by a moderator:

njoo nikupe tulizo ruta, kwa muda tu, wakati wasubiria muafaka! usijepata mtikisiko wa ubongo tukakosa verses humu ndani! pole sana!
 
cacico........................nilichojifunza humu duniani ukiwa muungwana waonekana dhaifu badala ya kuwa unatumia busara na unajali mwenzio..............yeye anaona ni *****..........sasa ukiwa mkali waonekana ni mkatili................machaguo ni magumu sana............
 
Last edited by a moderator:
cacico................huyu mama ni bedui kabisa.......................kwa mwezi anakunja laki saba hivi naye hazimtoshi kweli...................adai mie nakula zaidi lakini jasho langu si ni langu tu?

usijal mzazi mwenzangu, nna wangu anakaribia kuwa kigoli, nakutunzia ruta ukiwa tayari tu unijulishe! uanze upyaaaaaaaa kulea kinda, pole sana, huyo mtu mzima mwenzangu achana naye anadhani madini ya zebaki cku moja yatakuwa dhahabu!
 
Kwahiyo havalishwi diapers?
Hali hizo sijui ndio cerelac na lactogen?!

Anakula na kuvaa nini? Kama wewe hujawahi kukaa na mtoto mwenyewe hata wiki moja ukajua mahitaji yake naomba nikujulishe kwamba ni ghali sana. Usishangae watu wanajipanga kuzaa. . .wanajua gharama zake.

Ukiangalia hizo diapers packet yenye sijui ni 40 haipungua 26,000. . . na hizo kama mtoto anabadilishwa properly (haachwi achwi na uchafu) basi matumizi ni yatafika hata 8 kwa siku.

8 x 5 = 40 . . . .meaning hata wiki hazimalizi.
Siku 30/siku 5 = packet 6
Packet 6 x (-+)26, 000 = 156 000
Hapo bado chakula, mavazi, vitu vyakichezea, wipers, mafuta, sabuni(siongelei mbuni). . . .
Kama unataka asiwe ghali mwambie ampe huyo mtoto maisha ya kawaida sana. Maziwa ya chai kwa siku pant moja 500, unga wa uji wa mahindi hauzidi 200, kumfunga atumie vipande vya kanga vilivyochakaa, sabuni ya mbuni mche 400 kama sikosei, na nguo mnaenda kwenye zile nadhani zinaitwa saula saula elfu mbili mbili tu mpaka mia tano unapata nguo za ukweli.
 
mwambie asikilize dunia ya wafu ule msemo wao wa dunia yako, chaguo lako, chagua kumpa ruta mtoto, au lea mwenyewe!
 
njoo nikupe tulizo ruta, kwa muda tu, wakati wasubiria muafaka! usijepata mtikisiko wa ubongo tukakosa verses humu ndani! pole sana!

cacico....vurugu nilizonazo zanitosha kabisa....................tenzi zitaendelea kwni hata mie sasa zanifariji........maana naona nimezungukwa na tigers...............
 
Last edited by a moderator:
yaan ruta ,leo nimeshacheka sanaaaa .. poa best sisi tupo kukusaidia ushauri ,,jitahid mtu wangu
kama comedian iyo story
 
usijal mzazi mwenzangu, nna wangu anakaribia kuwa kigoli, nakutunzia ruta ukiwa tayari tu unijulishe! uanze upyaaaaaaaa kulea kinda, pole sana, huyo mtu mzima mwenzangu achana naye anadhani madini ya zebaki cku moja yatakuwa dhahabu!

cacico.............wakati ukuta.............................u never know...................
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hutaki? Huba imepungua au?

ana boyfriend wake anaishi naye......na wote ni domokaya hawataki kufanyakazi..................viwavi jeshi tu........am really tired of them, Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Ruta

KUmbuka Mgeni Njoo Mwenyeji apone.........

TIMING hilo nalitambua na kulikubali........................lakini nalo lina mipaka yake.....................mie laki saba ni nying wajamani lakini ana usongo mkali anataka kunikamua zaidi adai bado ninazo nyingi zaidi kwa hiyo nimkatia mara tatu yake every month ili yey na bwana wake wale tu mie huku nawasotea...................
 
Last edited by a moderator:
ana boyfriend wake anaishi naye......na wote ni domokaya hawataki kufanyakazi..................viwavi jeshi tu........am really tired of them, Kaunga

Swali la msingi, if you dont concur; what can she possibly do? How old is the baby!
700 grands ni pesa ya kutosha kwa maisha ya kawaida; kama kweli unazitoa hizo monthly!
 
ana boyfriend wake anaishi naye......na wote ni domokaya hawataki kufanyakazi..................viwavi jeshi tu........am really tired of them, Kaunga

jamani ruta pole, kumbe ana mtu tayari, tena wanaishi wote. jamani hiyo kesi mbona ndogo sana. mi nilijua yupo kwa wazazi. mwabie akupe mtoto, kama hataki alee mwenyewe. PERIODIC TABLE! LOLEST! Wadada wengine kha!
 
Kwahiyo havalishwi diapers?
Hali hizo sijui ndio cerelac na lactogen?!

Anakula na kuvaa nini? Kama wewe hujawahi kukaa na mtoto mwenyewe hata wiki moja ukajua mahitaji yake naomba nikujulishe kwamba ni ghali sana. Usishangae watu wanajipanga kuzaa. . .wanajua gharama zake.

Ukiangalia hizo diapers packet yenye sijui ni 40 haipungua 26,000. . . na hizo kama mtoto anabadilishwa properly (haachwi achwi na uchafu) basi matumizi ni yatafika hata 8 kwa siku.

8 x 5 = 40 . . . .meaning hata wiki hazimalizi.
Siku 30/siku 5 = packet 6
Packet 6 x (-+)26, 000 = 156 000
Hapo bado chakula, mavazi, vitu vyakichezea, wipers, mafuta, sabuni(siongelei mbuni). . . .
Kama unataka asiwe ghali mwambie ampe huyo mtoto maisha ya kawaida sana. Maziwa ya chai kwa siku pant moja 500, unga wa uji wa mahindi hauzidi 200, kumfunga atumie vipande vya kanga vilivyochakaa, sabuni ya mbuni mche 400 kama sikosei, na nguo mnaenda kwenye zile nadhani zinaitwa saula saula elfu mbili mbili tu mpaka mia tano unapata nguo za ukweli.

lizzy, ni kweli kabisa hiyo pesa haitoshi kabisaa, kulea mimba si kazi, kazi kulea mwana kama rutashumbanyuma unaona hizo gharama kubwa ungesubiri au ungetumia zana.chezea kulea mtoto weye!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…